Habari za Mastaa

Siyo siri tena Vanessa athibitisha kutoka kimapenzi na staa wa Marekeni Rotimi

on

Baada ya kuripotiwa taarifa kuhusu penzi jipya la mwimbaji Vanessa Mdee na staa wa Marekeni mwenye asili ya Nigeria Rotimi hatimaye leo Vanessa amethibitisha uwepo wa penzi hilo jipya kupitia kipindi cha Clouds E ya Clouds TV, Vanessa amesema ni kweli anatoka kimapenzi na Rotimi.

Vanessa kaongezea kwa kusema kwamba wanapendana na kuheshimiana sana na mpenzi wake Rotimi ila wameamua kuyafanya mahusiano yao private japo siyo siro.

..>>>“Niko Miami ndiyo na mpenzi wangu siyo siri kwamba tuna mahusiano ila tunataka kuyafanya mahusiano yetu private tunapendana na kuheshimiana sana na tunataka kuyajenga zaidi” – Vanessa Mdee

HUYU NDIE STAA WA MAREKANI ANAYEDAIWA KUTOKA KIMAPENZI NA VANESSA MDEE

Soma na hizi

Tupia Comments