Top Stories

Rais Magufuli kukabidhiwa ripoti ya uchunguzi wa Madini IKULU kesho

on

Kesho September 7, 2017 Rais John Pombe Magufuli atapokea taarifa ya uchunguzi wa madini ya Tanzanite na Almasi uliofanywa na Kamati maalum mbili zilizoundwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai.

Taarifa hiyo itakabidhiwa kwa Rais Magufuli na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Ikulu Jijini Dar es Salaam katika hafla itakayorushwa moja kwa moja na vituo vya redio na televisheni kuanzia saa 4:00 Asubuhi.

Ripoti ya pili ilivyomuumiza Rais Magufuli (FULL VIDEO)

Soma na hizi

Tupia Comments