Habari za Mastaa

PICHA 8: RC Makonda akabidhi Tuzo kwa Askari, wajane wa Askari 11 wakumbukwa

on

Leo April 12, 2018 imefanyika shughuli ya kuwatunuku vyeti na zawadi za Pikipiki, Saruji, Mabati,fedha na vifaa vya ndani kwa Askari polisi wazalendo waliofanya vizuri katika kazi yao huku Askari wengine wakiombwa kujituma kwa moyo mmoja kulinda usalama wa raia na Mali zao.

Katika shughuli hiyo mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda, hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye Shughuli hiyo.

Soma na hizi

Tupia Comments