Habari za Mastaa

VIDEO: Steve Nyerere, Irene Uwoya, Aunt Ezekiel mpaka Central Polisi kwa Mambosasa

on

Leo April 9, 2019 Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amekutana na wasanii wa Bongomovie wakiwemo Steve Nyerere, Irene Uwoya, Aunt Ezekiel, Dude na baadhi ya wa sanii wa muziki wa dansi kuweka mipango sawa kwa ajili ya tamasha lililoandaliwa na polisi kwa lengo la kuwatunuku Askari waliofanya vizuri katika mwaka 2018.

Tamasha hilo la Polisi litafanyika siku ya Ijumaa hii katika viwanja vya Polisi Oysterbay DSM. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama walichozungumza Kamanda Mambosasa na Wasanii hao.

VIDEO: ‘MIMI NA VANESSA HAKUNA TATIZO LOLOTE TUKO SAWA’ – JUX

Soma na hizi

Tupia Comments