Habari za Mastaa

Kwa unyonge mtoto Hamisi kazungumza “Nateseka, bado mdogo, nahitaji kurudi shule”

on

Baada ya wasanii baadhi wa Bongomovie kumtembelea mtoto Hamis Hashim siku ya leo February 21, 2019, ambaye amekuwa akijiuguza kwa muda mrefu kutokana na hali yake ya kuvimba miguu yote miwili inayomfanya ashidwe kutembea, Hamisi alipatana nafasi ya kuzungumza na kutoa ombi lake kwa watanzania.

Ambapo Hamisi amesema amekuwa akitamani sana kurudi shule kuendelea na masomo kama wengine huku akiwa na ndoto za kutaka kuja kufanikiwa na kusaidia wengine licha ya kwamba kwa sasa amekiri kuteseka akiwa bado mdogo.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Hamisi akizungumza.

VIDEO: Steve Nyerere amewaongoza wasanii kumuona mtoto Hamisi anayesumbuliwa na miguu

Soma na hizi

Tupia Comments