Top Stories

YASIKIE MAJIBU: Kuibiwa Mke ama Pesa kipi kinauma ? (+video)

on

Ikiwa kama kawaida yake, Zuch Zuchero ameingia tena mtaani akiwa katika Daraja la Manzese na viunga vyake ameibuka tena na maswali yake tata akiwa na M-Koba ambapo leo anauliza, Kuibiwa mke ama Pesa kipi kinauma…?

STEVE NYERERE AMJIBU BILLNAS “MIMI KAMA SOKOINE, NASIFIWA NA WAZIRI MKUU”

Soma na hizi

Tupia Comments