Top Stories

Ushauri wa Mbunge Koshuma kwa Serikali ya JPM

on

Mbunge wa Viti maalum CCM Kiteto Koshuma ameishauri Serikali kuanzisha mpango wa kuwapatia chanjo ya uzazi kwa watoto wa kike wanaoanzia miaka 9 hadi 14 ili kuwakinga na saratani shingo ya uzazi, ugonjwa unaotokana na kujamiiana ambao umekuwa hatarishi kwa muda mrefu.

BREAKING: CHADEMA wanaongea na Waandishi wa Habari

Soma na hizi

Tupia Comments