Top Stories

Maagizo ya Naibu Waziri Shonza Bungeni leo

on

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na michezo Juliana Shonza ametoa maelekezo kwa wasanii wote nchini kuhakikisha wanapeleka kazi zao zikiwemo video katika mamlaka ya bodi ya filamu kwa ajili ya kuhaririwa kabla hawajaziruhusu kuonekana na endapo watakaidi hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

“Mzisome vizuri sheria kabla ya kuupotosha UMMA” –Dr Tulia

Soma na hizi

Tupia Comments