Top Stories

Sababu 5 za Maalim Seif kujitosa Urais Zanzibar kwa mara ya sita (+video

on

Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza nia ya kugombea Zanzibar, amesema atachukua fomu Julai 4.

Amewaomba Wazanzibari kumkubali kama walivyofanya kwa chaguzi zilizopita kwa kuongeza idadi ya wanaompigia kura kila uchaguzi mpya tangu mwaka 1995.

“LUKUVI SISI SIO WATOTO WADOGO” MAGUFULI AMVAA VIKALI WAZIRI MBELE YA WANANCHI “UMEWEKWA MKONONI”

Soma na hizi

Tupia Comments