Top Stories

Sababu za Polepole kuitwa kuhojiwa pamoja na kina Gwajima na Jerry Silaa, M/kiti afunguka

on

Akizungumza mara baada ya kumaliza kuwahoji wabunge Humphrey Polepole, Josephat Gwajima na Jerry Silaa Mwenyekiti wa kamati ya Maadili ya wabunge wa CCM, Hassan Mtenga amesema kazi bado inaendelea.

“Makosa ambayo ameitwa nayo Humphrey Polepole ni yale ambayo kama yanamhusu Joephat Gwajima kwa sababu naona kwenye mitandao yako mambo anaandika, sio makosa makubwa kama inavyoonekana lakini kurudishana kwenye mstari kwa sababu Chama cha Mapinduzi kina taratibu zake kama kuna jambo ambalo unaona si Salama sana inawezekana mkarudi kwenye vikao mkaanza kulijadili”-Hassan Seleman Mtenga, Mwenyekiti wa kamati ya maadili ya wabunge wa CCM

Soma na hizi

Tupia Comments