Top Stories

Sababu za Silinde awasimamisha kazi Wakuu wa shule wawili (+video)

on

Naibu Waziri wa TAMISEMI David Silinde amewasimamisha kazi Wakuu wa Shule wawili wa Sekondari za Bahati Day na Muktuka kwa kushindwa kusimamia ujenzi wa mabweni ya shule hizo kwa kutumia gharama kubwa huku ujenzi ukiwa bado haujakamilika tofauti na muongozo ulitoka ofisi ya TAMISEMI uliotaka kwa milion 80 bweni liwe limekamilika.

Silinde amesema katika Halmashauri ya Babati Vijijini amejionea ujenzi wa mabweni mawili ambayo yapo katika hatua nzuri kukamilika wakiwa wamejenga mabweni mawili kwa Milion 74 tu kati ya Mil. 160 walizopatiwa na Serikali tofauti na Babati Mjini ambapo kwa kila shule ya sekondari moja imetumia zaid ya mil 80 katika hatua ya upauzi.

Soma na hizi

Tupia Comments