Top Stories

Sabaya aagiza wamiliki wawili wa mabasi wakamatwe (+video)

on

Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ameagiza Wamiliki wawili wa mabasi kukamatwa kwa tuhuma za kuunda genge la uhalifu kwa lengo la kuhujumu miundombinu ya reli ili kuathiri usafiri wa treni ya abiria kati ya DSM – Moshi hadi Arusha.

Wafanyabiashara hao wametakiwa kuripoti kituo cha Polisi Bomang’ombe leo Jumapili January, 19, 2020.

“TUNAONA MENGI KWENYE MITANDAO, RC UNATUTOA AIBU” KATIBU WA CCM MBEYA

Soma na hizi

Tupia Comments