Top Stories

Sabaya adai kutumiwa watu wakitaka kumuua, awakana wenzake 6 (video+)

on

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameendeea kujitetea January 19, 2022 Mahakamani nakusema alitishiwa kuuawa wakati akifanya kazi za Serikali nakusema hawafahamu washtakiwa anaoshtakiwa nao Mahakamani.

 

Soma na hizi

Tupia Comments