Top Stories

Sabaya akutwa na kesi nyingine ya kujibu, kuanza kujitetea “Mashahidi 10” (video+)

on

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imemkuta na Kesi ya Kujibu aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake 6 kwenye kesi ya Uhujumu.

Soma na hizi

Tupia Comments