Top Stories

Sabaya arudishwa Mahabusu ashindwa kumalizia ushahidi (video+)

on

Kesi ya unya’anyi wa kutumia silaha inayomkabili Lengai Ole Sabaya, Daniel Mbura pamoja na Silvester Nyegu imeahirishwa hadi July 22,2021 baada ya shahidi aliyekuwa akitoa ushahidi kushindwa kufika mahakamani kutokana na imani ya dini ambapo imeelezwa mahakamani hapo yupo kwenye Sikukuu za Idd.

Tupia Comments