Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake imeahirishwa kutokana na upande wa mashtaka nyaraka zinazoiwezesha Mahakama hiyo kusikiliza kesi hiyo kutokuwa tayari.
MAPYA YAIBUKA SABAYA AMTAJA MAGUFULI NA DR. MPANGO, GAVANA BOT MAHAKAMANI “NILITUMWA WANAJUA”