Top Stories

Sabaya augua ghafla ashindwa kufika Mahakamani “Ameandikiwa dawa” (Video+)

on

NI Agosti 4, 2021 ambapo Mshtakiwa namba moja Lengai Ole Sabaya katika kesi ya unyang’anyi wakutumia Silaha inayomkabili ameshindwa kufika Mahakamani baada yakuugua.

Ayo TV na millardayo.com  inaripoti kutokea Arusha Mahakamani hapo, unaweza ukabonyeza kufahamu kile kilichojiri.

 

SHAHIDI KESI YA SABAYA ALIVYOTAKA KUPEWA MILIONI 2 ILI AMALIZE KESI

 

Tupia Comments