Top Stories

Sabaya Mahakamani, hukumu ya rufaa iliyowafunga miaka 30 kutolewa (video+)

on

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai,Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili leo Mei 6,2022 Mahakama Kuu Kanda ya Arusha,inatarajiwa kutoa hukumu ya rufaa waliyokata kupinga hukumu ya kifungo cha Miaka 30 kila mmoja,iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha Octoba 2021.

Tupia Comments