Mix

Sabaya na wenzake waachiwa huru

on

Mahakama kuu ya Kanda ya Arusha imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya wenzake wawili waliokuwa wamekata rufaa ya kupinga kuhukumiwa miaka 30 kwenda jela kila mmoja kwa sababu mbalimbali kwa kuwa mrufani namba 2 Silvester Nyegu na namba tatu Daniel Mbura hawakupewa haki ya kumhoji shahidi namba mbili wa jamhuri na kutokufanya hivyo kunafanya kunawanyima haki yao msingi.

Jaji aliyekuwa akisikiliza rufaa hiyo Ezedekia Kisanya amesema kulikuwa na mkanganyiko kwenye mwenendo usikilizwaji wa kesi hiyo ikiwemo kutofautiana kwa mashahidi nakuufanya ushahidi kuwa batili.

Jaji amesema watakuwa huru endapo watakuwa hawana kesi nyingine kwenye Mahakama yoyote.

SABAYA MAHAKAMANI, HUKUMU YA RUFAA ILIYOWAFUNGA MIAKA 30 KUTOLEWA

 

Soma na hizi

Tupia Comments