AyoTV

Shangwe la Rostam fiesta Arusha 2019 ‘mashabiki waimba kibamia'(+video)

on

NI Kundi la Rostam linaloundwa na Roma Mkatoliki & Stamina ambalo October 26, 2019 waliziandika headlines za kutoa burudani ya nguvu kwenye jukwaa la fiesta mkoani Arusha katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Itazame hii video ujionee namna walivyoliamsha kwenye jukwaa hilo

 

ULIIKOSA HII YA DOGO JANJA ALIVYOWAPANDISHA MACHALII WA CHUGA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments