Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Sada aliyetoroka nyumbani apatikana, aliomba kazi ya Housegirl na kubadili jina, Mama asimulia
Share
Notification Show More
Latest News
The Snipers Mabingwa wa Pool Table Mashindano ya robo mwaka
December 10, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 10, 2023
December 10, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 10, 2023
December 10, 2023
Breaking:Mvua kubwa yaitikisa Kilosa Usiku huu, Magari yasombwa, watu walia kuomba msaada
December 10, 2023
RC Chalamila apongeza Polisi na Barrick kwa kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili
December 10, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Sada aliyetoroka nyumbani apatikana, aliomba kazi ya Housegirl na kubadili jina, Mama asimulia
Top Stories

Sada aliyetoroka nyumbani apatikana, aliomba kazi ya Housegirl na kubadili jina, Mama asimulia

September 15, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Sunshine iliyopo Kibaha Mkoani Pwani, Sada Kabaju (17) ambaye alitoroka nyumbani tangu August 18 baada ya kupigwa na Kaka yake kwa kosa la kujihamishia fedha kutoka kwenye simu ya Mama yake bila ruhusa, amepatikana akiwa Ubungo Msewe Dar es salaam anakodai aliomba kazi ya kuwa House Girl ili apate pesa ya kumlipa Mama yake.

Mama Mzazi wa wa Sada, Zaiba Kinyowa (58) ameiambia @AyoTV_ kupitia mahojiano yake na Mwandishi Bakari Chijumba kuwa Sada amesema alipotoka nyumbani alikaa Gesti kwa siku tatu na alipoishiwa fedha akaomba kazi ya kuwa House Girl kwa Mtu akidai anatokea Iringa na akabadilisha jina na kujiita Rachel pamoja na kujiongezea miaka na kusema ana umri wa miaka 19.

“Nimefurahi sana kumuona Mwanangu, nilipigiwa simu na Mtu usiku jana akaniambia amemuona Sada akasema namuona hapa Mtoto ni kama yule niliyeona picha yake kwa MillardAyo, nimemuona Mwanangu nikapiga kelele sana, Sada mwenyewe akawa ananibembeleza, tukaja nyumbani, Msamaria Mwema anasema alipomuona alimuuliza wewe ni Sada akakataa akamuonesha picha iliyopostiwa na MillardAyo bado akasema sio yeye kwamba yeye anaitwa Rachel”

“Sada anasema alitumwa kununua dawa ya mbu na alipofika dukani Msamari mwema akamuona, amesema wazo la kurudi hakuwa nalo alipanga akipokea mshahara anitumie tu hela na abaki hukohuko hakupanga kurudi nyumbani”

You Might Also Like

Breaking:Mvua kubwa yaitikisa Kilosa Usiku huu, Magari yasombwa, watu walia kuomba msaada

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 9, 2023

Kivumbi!! Misso Misondo alivyowaleta Jukwaani Dancers wake, Noma wapewa shangwe

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2023

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais atoa maagizo haya kwa Vyama vya siasa

Edwin TZA September 15, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Rais Samia azindua hospital ya Kanda Kusini
Next Article Mkazi wa Songea ashinda pikipiki kupitia droo ya Kopa Tukubusti
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

The Snipers Mabingwa wa Pool Table Mashindano ya robo mwaka
Sports December 10, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 10, 2023
Magazeti December 10, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 10, 2023
Magazeti December 10, 2023
Breaking:Mvua kubwa yaitikisa Kilosa Usiku huu, Magari yasombwa, watu walia kuomba msaada
Top Stories December 10, 2023

You Might also Like

Top Stories

Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 9, 2023

December 9, 2023
Top Stories

Kivumbi!! Misso Misondo alivyowaleta Jukwaani Dancers wake, Noma wapewa shangwe

December 9, 2023
Top Stories

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2023

December 9, 2023
Top Stories

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais atoa maagizo haya kwa Vyama vya siasa

December 8, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?