Habari za Mastaa

Penzi la Casto na Tunda lazidi kunawiri wamefikia hatua hii

on

Moja kati ya penzi ambalo limekuwa likikua kwa kasi ni penzi kati ya Mtangazaji Casto Dickson na Staa Tunda ambao wamekuwa wakionyesha furaha ya penzi lao kwa ku-post picha kwenye mtandao wa Instagram na time hii wawili hao wametuonyesha kukua kwa penzi hilo baada ya Casto kuchora Tattoo ya Tunda.

Casto amechora Tattoo hiyo ya Tunda kwenye mkono wake na wakati wa uchoraji wa Tattoo hiyo wawili hao walikuwa pamoja kwani walianza kupost video na picha zikionesha tukio la uchoraji wa Tattoo hiyo. Je tutegemee naye Tunda atachora Tattoo hiyo..?

Uwoya kafunguka tusiyoyajua “Nimepiga picha na Mama Mkwe, Dogo Janja nimemzidi vingi”

Daah!! unaambiwa ni gari ya 1986 ila thamani haishuki siku hadi siku (+video)

Soma na hizi

Tupia Comments