Top Stories

Hii ndio Dodoma bwana, laki tisa tu unapata kiwanja

on

Kama wewe ni miongoni mwa watu ambao wanatamani kujenga Dodoma iwe ni nyumba ya kuishi, hoteli n.k lakini umekuwa na hofu juu ya gharama za viwanja, Good News anayo mkurugenzi wa jiji hilo Godwin Kunambi kwenye exclusive interview na Ayo TV pamoja na millardayo.com kuhusu mpango mpya wa kumuwezesha kila mtanzania mwenye uhitaji kuweza kutimiza ndoto zake.

Masharti makuu mawili kama unataka kujenga Dodoma

Soma na hizi

Tupia Comments