Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Alikiba na Abdukiba wamezungumza uteuzi wa Jokate

on

Ayo TV imefanya mahojiano na wasanii wa muziki wa bongofleva ambao ni ndugu, Alikiba na mdogo wake Abdukiba ambao wamezungumza kuhusu kuteuliwa kwa muigizaji na mwanamitindo Jokate Mwigelo ambaye ameteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama alichozungumza Alikiba na Abdukiba kuhusu Jokate

VIDEO: Maimatha kafunguka kumwita Jokate ‘Mama wa Taifa’ | “Rais kaona anafaa”

Maua Sama kazungumzia ishu ya kufukuzwa THT | Nipo mapenzini na Mzungu shabiki yangu

Soma na hizi

Tupia Comments