Habari za Mastaa

Sakata la Corona Kaimu Meya DSM kakutana na wasanii Pamoja na watu maarufu

on

Kaimu Meya wa jiji la Dar es Salaam, Abdall Mtimika amekutana na wasanii na baadhi ya watu maarufu wa jiji la Dar es Salaam na kuwaomba waendelee kumahasisha na kutoa elimu kuhusu kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.

Akizungumza na wasanii wa tasnia mbalimbali, Kaimu Meya Mtimika alisema kuwa wananchi wote bila kujali itikadi zao za vyama, wanatakiwa kupambana na kusaidia kutokomeza na kujikinga na janga hili.

Wasanii na wao walipewa nafasi ya kuzungumza kuhusu swala hilo ambapo wamezungumza haya. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Video.

Soma na hizi

Tupia Comments