Top Stories

Sakata la Mbunge Musukuma na Mkurugenzi kisa V8 ya Milioni 400 (+video)

on

Sakata ya Mbunge wa Geita Joseph Musukuma na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Geita Eng. Modest Apolinary kuhusu ununuzi wa gari aina ya V8 lenye thamani ya Mil. 400, ambapo Mbunge huyo anasema hajaridhishwa na kiwango kikubwa cha pesa iliyotumika na kufanya hivyo ni matumizi mabaya ya fedha.

“Hizi pesa sisi tulipigwa mabomu kukalala mahabusu leo tumetengeneza mtandao wa hela badala yazipanga kuwasaidia wanyonge mtu anakwenda kutununulia V8” Musukuma

Kwa upande wake Mkurugenzi Eng. Modest anasema manunuzi ya gari hilo yamefata taratibu zote za manunuzi na kupewa baraka zote za mamlaka husika.

“Kama hoja ni kununua gari wiki iliyopita tumeagiza magari mengine manne na tumeshapata kibali” Mkurugenzi

Soma na hizi

Tupia Comments