Top Stories

Sakata la video ya Askari wakiwatesa kuwapiga majangili, wizara yatoa tamko

on

Wizara ya Maliasili na Utalii imetolea ufafanuzi kuhusu picha na video inayosambazwa mitandaoni ikionesha tukio la Askari wa Uhifadhi kuwapiga na kuwatesa Watuhumiwa wa ujangili, Wizara imesema tukio hilo ni la zamani lilitokea Mwaka 2011 katika Pori la Akiba huko Rukwa.

“Askari waliohusika na tukio hilo walichukuliwa hatua kali ikiwemo kufukuzwa kazi, Wizara imekuwa mstari wa mbele kukemea na kuchukua hatua kali pindi inapobaini ukiukwaji wa maadili na miongozo ya kazi unaofanywa na baadhi ya Askari na Watumishi wasiokuwa waadilifu”- Wizara

Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea hapa ufahamu zaidi tamko la Wizara kuhusu sakata hilo.

TAZAMA MWANAJESHI ALIVYOPAMBANA NA MAMBA KISHA KUMFUNIKA KWENYE PLASTIKI LA TAKA

RAIS WA UFARANSA ALIEWAHI KUPIGWA KOFI NA RAIA, SAFARI HII ARUSHIWA YAI MBELE YA WALINZI WAKE

BIL. 23 KUJENGA JENGO LA GHOROFA 6 TAMISEMI, KUJENGWA KWA MIEZI 24

Tupia Comments