AyoTV

Ujumbe aliopewa Dr Tulia kwenda kwa Rais Magufuli

on

Ni headline kutokea Mbeya ambapo inawakutanisha Naibu Spika Dr Tulia Ackson na watu wake kwenye ziara aliyoifanya katika maeneo mbalimbali mkoani humo lengo likiwa ni kutatua baadhi ya changamoto na hapa alifika katika kata ya Kawetele mkoani humo ambapo Wananchi hawakukubali kumuacha hivi hivi na badala yake wakampa ujumbe wa kumfikishia Rais John Pombe Magufuli.

Mwigulu ametamani kumuona Nondo chuoni, aongelea yeye kujiuzulu

Soma na hizi

Tupia Comments