Habari za Mastaa

Salamu za Shilole kwa Baba Levo ‘Jipange, utarudi tu’ kaka wa Aunt Ezekiel aingilia kati

on

NI Headlines za msanii kutokea Bongo Flevani, Shilole ambae time hii kupitia Ayo TV & Millardayo.com ametuma salamu kwa rafiki yake Baba Levo na kusema.

Baba Levo anajua mwenyewe mimi ni timu kubwa hata kama hayupo kwenye timu yetu ila lazima atarudi tu hapa ni mtakuja pia nimefurahi amenunua Gari ni maendeleo mapya hiyo’- Shilole

Itazame his video haha ujionee alichozungumza Shilole na kaka yake Aunt Ezekiel

RIDHIWANI KAMTAJA DIAMOND, ALIKIBA NA HARMONIZE KWENYE LIST YA WASANII ANAOKUBALI NYIMBO ZAO

 

 

 

Tupia Comments