Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Samatta kaipatia ushindi mwingine timu yake ya KRC Genk leo
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
March 26, 2023
Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”
March 26, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Samatta kaipatia ushindi mwingine timu yake ya KRC Genk leo
Sports

Samatta kaipatia ushindi mwingine timu yake ya KRC Genk leo

August 21, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Baada ya mtanzania Mbwana Samatta kuingoza timu yake ya KRC Genk kicheza mchezo wa kwanza wa round ya mwisho wa kuwania kufuzu hatu ya Makundi ya UEFA Europa League dhidi ya Lokomotiva ya Croatia na mchezo kumalizika kwa sare ya goli 2-2.    

August 21 2016 alishuka dimbani    kucheza mchezo wao wa nne wa Ligi Kuu Ubelgiji dhidi ya Lokeren katika uwanja wa Diknam unaotumiwa na Lokeren kama uwanja wa nyumbani.    

Leo August  21 Samatta amefanikiwa kuiongoza Genk kuibuka na ushindi  wa goli 3-0 huku Samatta akifanikiwa kufunga magoli mawili dakika ya 34 na 38 kabla ya mjamaica Leon Bailey kufunga goli la mwisho dakika ya 48, Genk sasa inakuwa inafikisha jumla ya point 7 na kuwa nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi kuu Ubelgiji.

Wakatii huu mtanzania Mbwana Samatta akiwa kafikisha jumla ya goli tatu katika michezo yao minne ya Ligi Kuu waliyocheza msimu huu.

WhatsApp Image 2016-08-21 at 23.28.42
Msimamo wa Ligi Kuu Ubelgiji ulivyo kwa sasa baada ya mechi ya Genk dhidi ya Lokeren

 

ULIIKOSA HILI GOLI LA KWANZA LA MBWANA SAMATTA AKIWA NA KRC GENK DHIDI YA CLUB BRUGGE

https://www.youtube.com/watch?v=N0OgV2dmXu0

You Might Also Like

Kocha Mkuu wa Taifa Stars awaita kikosini wachezaji hawa wawili wa Simba SC

Full Video: Tazama Mandonga alivyompiga Kenneth ‘Raia wa Uganda’ na kuibuka Mshindi wa Pambano hilo

Picha: Hawa ndio ‘Perfect Kanzu’, mastaa na Watu maarufu ununua hapa Kanzu zao Dar es Salaam

Kapombe na Tshabalala waongezwa Taifa Stars

Kocha Micho wa Uganda ajitetea kipigo cha Taifa Stars “Timu ya Mpito”

TAGGED: habari daily, Mbwana Samatta, michezo
Admin August 21, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Utani wa mchekeshaji Eric Omondi kwa wanaotaka kuwa kama Diamond
Next Article Magazeti ya Tanzania August 22, 2016 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
Top Stories March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
Top Stories March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
Top Stories March 26, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM

March 26, 2023
Top Stories

Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’

March 26, 2023
Top Stories

Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”

March 26, 2023
Top Stories

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza limefanya misa Takaridu ya Kumuombea Hayati JPM

March 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?