AyoTV

Video ya dakika 10 za Mbwana Samatta na waziri Nape Nnauye Dar es salaam

on

December 30 mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayeichezea TP Mazembe Congo DRC Mbwana Samatta alikutana na waziri wa habari, vijana, wasanii na michezo Nape Nnauye wakati ambapo zimebaki siku chache kuelekea Abuja Nigeria January 7  kwenye utolewaji wa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika na yeye akiwa miongoni mwa wachezaji watatu wanaowania tuzo hiyo.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments