AyoTV

Video ya goli la Mbwana Samatta alipoisaidia KRC Genk kuibuka na ushindi wa goli 4-1

on

March 13 mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayeichezea klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta alipata nafasi ya kuanza na kikosi cha Genk kwa mara ya kwanza na hili ndio goli lake la kwanza akicheza first eleven na la pili toka ajiunge na klabu hiyo.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana naMillardAyo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments