Michezo

Samatta kuhusu Tanzania kufuzu kombe la dunia “Tusipate uchizi, zimebaki game mbili”

on

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kimerejea alfajiri ya leo kikitokea Cotonou Benin ilikocheza mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar na kuibuka na ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Simon Msuva dakika ya 6.

MSUVA AFUTA MAKOSA “ILIKUWA SIKU NGUMU KUKOSA NAFASI YA WAZI”

Soma na hizi

Tupia Comments