Michezo

Samatta atajwa kuwania Tuzo ya mchezaji bora wa Afrika 2019

on

Shirikisho la Soka Afrika CAF leo limetangaza majina 30 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka 2019, majina hayo yametajwa na mtanzania Mbwana Samatta anayecheza club ya KRC Genk ya Ubelgiji akiwa ni miongoni mwa wanaowania tuzo hiyo.

“RAIS WAMEKAMATA NDEGE TENA, YULE YULE” KABUDI AMVAA CAG MSTAAFU

Soma na hizi

Tupia Comments