Michezo

Samatta kuikosa Tunisia

on

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayeichezea club ya Fenerbahce ya Uturuki Mbwana Samatta sasa atakuwa nje ya uwanja kwa wiki mbili kutokana na majeruhi.

Samatta sasa ni wazi atakosa michezo yote miwili ya Taifa Stars ya kuwania kufuzu AFCON 2020 dhidi ya Tunisia November 13 2020 ugenini na marudiano November 17 2020 nyumbani.
.
Tanzania sasa ipo Kundi J lenye timu za Tunisia, Equatorial Guinea na Libya, Kundi likiongozwa na Tunisia wenye point 6 na kufuatiwa na Libya wenye point 3 kama Tanzania ila wamefanana kila tu Libya anaingoza kwa head to head.

Soma na hizi

Tupia Comments