Michezo

Samatta kutua Fenerbahce?

on

Baada ya kukosekana katika mchezo dhidi ya Sheffield, tetesi za nahodha wa Tanzania Mbwana Samatta kuhamia Fenerbahce zinazidi kushika kasi.

Inadaiwa kuwa Fenerbahce ya Uturuki ndio timu inayopewa nafasi kubwa kupata huduma yake msimu 2020/21.

Samatta analazimika kuondoka Aston Villa baada ya club hiyo kusajili wachezaji wa nafasi yake zaidi ya wawili akiwemo Watkins wakati huu wa dirisha la usajili, hata hivyo Samatta anahusishwa na West Brom, Fulham na Fenerbahce.

Soma na hizi

Tupia Comments