Kwa wale wapenzi wa Samsung goodnews sasa ni kwamba huduma zimesogezwa karibu yako kabisa ndani ya best mall Tanzania kwa sasa Palm Village Shopping Mall iliyopo Mikocheni kwa Warioba.
Nakusogezea picha 10 za uzinduzi wa Duka la Samsung ndani ya Palm Village ambalo linauza simu original na vifaa mbalimbali ya Samsung.