Habari za Mastaa

Umeipata mpya ya Sam Smith? ‘Writing on the wall’ imenifikia! – (Video).

on

Baada ya kushinda tuzo zaidi ya tano za Grammy na zaidi ya tuzo mbili za Billboard mwaka huu milango imezidi kufunguka kwa msanii wa Pop kutoka Uingereza Sam SmithAdele alishawahi kutoa wimbo ambao ulitumika kama soundtrack kwenye movie ya 007 James Bond mwaka 2012, na safari hii ni zamu ya Sam Smith kuweka record hiyo pia!

samsmith3

‘Writing’s on the Wall’ ya Sam Smith ndio official soundtrack kwenye movie ya James Bond Spectre’ inayotegemea kutoka tarehe 6 November mwaka huu… kizuri zaidi kuhusu single hii ni kwenye chati za muziki huko Uingereza wimbo huu umekamata nafasi ya #1 ndani ya wiki chache tu!

samsmith4

Video yake imeshatoka tayari na pengine imekufikia au haijakufikia, kama hujabahatika kukutana nayo basi feel free kuicheki video hiyo hapa chini mtu wangu.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM,TWITTER,FB, YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments