Habari za Mastaa

Wasanii Bongo kulipwa kwa nyimbo zao kuchezwa kwenye Tv na Radio? majibu anayo Waziri…(+Audio)

on

Tumekuwa tukishuhudia au kusikia baadhi ya wasanii wa ng’ambo wakinufaika kwa namna tofauti katika sanaa zao kwa kupitia nyimbo zao kuchezwa kwenye vituo vya Radio na Tv kisha kulipwa mkwanja mrefu na kukuza uchumi kupitia vipaji vyao.

Sasa leo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye ana haya ya kukufahamisha kuhusu wasanii wa Bongo kulipwa pamoja na namna gani ya kuyakusanya mapato hayo.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments