Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Sanlam wamkabidhi wakala bora 2022 gari IST
Share
Notification Show More
Latest News
MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
March 24, 2023
Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’
March 24, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Business > Startup > Sanlam wamkabidhi wakala bora 2022 gari IST
Startup

Sanlam wamkabidhi wakala bora 2022 gari IST

January 19, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Kampuni ya SANLAM Katika kuthamini juhudi zinazowekwa na mawakala, Sanlam inamtunuku Wakala wao bora (Guidance Insurance Agency) kwa mwaka wa 2022 na gari jipya kabisa aina IST.

Guidance Insurance Agency inawakilisha timu kubwa ambayo imekuwa mstari wa mbele kila wakati na tayari kutumika.

Kwa mwaka mzima, Mawakala wameshinda zawadi nyingi zikiwemo pesa taslimu, pikipiki, na zaidi kupitia programu inayoendeshwa na Salam General Insurance iitwayo Vuna Point.

Mpango huu unatambua na kutunuku juhudi zinazofanywa na mawakala katika kuwahudumia wateja wa Salam, ni programu inayoendelea a Salam General Insurance inapenda kuwakaribisha wote wanaotaka kuwa sehemu ya mtandao wao mkubwa na kuahidi kukua pamoja
nao.

Sanlam inatoa huduma na bidhaa nyingi ikijumuisha bidhaa zao bora, bima ya gari, bima ya nyumba, na bima ya kusafiri. Bidhaa zingine ni Bima ya Kilimo, uhandisi, baharini, vifurushi, moto, na zaidi.

“Tunawaalika wote wanaotaka kuwa sehemu ya familia hil kubwa, piga simu 0800750236 na uwe wakala leo. ” alisema Charles Magori – Meneja Maendeleo ya Biashara – Mawakala a Matawi | Salam General Insurance

You Might Also Like

“Tunakwenda kuongeza uwezo wa hospitali ya Wilaya ya Mkuranga” Rais Samia

Mbowe awaponda walioenda Ikulu “Sifuati uchumba” amvaa Msajili (+video)

TAGGED: tza habair
Pascal Mwakyoma TZA January 19, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa za Magazetini Kenya leo January 19, 2023
Next Article Mtanzania afariki kwenye vurugu Afrika Kusini
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.
Top Stories March 24, 2023
China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.
Top Stories March 24, 2023
20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.
Top Stories March 24, 2023
INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.
Top Stories March 24, 2023

You Might also Like

Top Stories

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

March 24, 2023
Top Stories

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

March 24, 2023
Top Stories

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

March 24, 2023
Top Stories

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

March 24, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?