Vituko/ Comedy

VIDEO: Dakika 10 za mchekeshaji Eric Omondi alivyoirudia ‘Sarafina’

on

Eric Omondi ni mchekeshaji ambaye ni moja kati ya watu waliobarikiwa vipaji vingi ikiwemo uwezo binafsi wa kuchekesha kupitia maneno na mwili wake pia amekuwa na utundu wa kuziigiza na kuzirudia nyimbo za mastaa mbalimbali.

Time hii kairudia sehemu ya movie ya ‘Sarafina’, unaweza kuitazama hapa chini, ukishaitazama usiache kutupia comment yako, ni lazima apite kusoma Watanzania wanasemaje.

VIDEO: Vitu unatakiwa kufahamu kuhusu kuegesha vyombo vya moto DSM, Bonyeza play hapa chini

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments