AyoTV

VIDEO: “Ushindani wa Diamond na Alikiba uendelee”- Bien wa Sauti Sol

on

Baada ya kundi kutokea nchini Kenya , Sauti Sol kutua Tanzania mkoani Arusha kwaajili ya show itakayofanyika leo Nov 19 2016 Millardayo.com na AyoTv imeweza kuwapata katika interview na katika maswali waliyoulizwa moja wapo ilikuwa inayosemekana ni beef kati ya Diamond Platnumz na Alikiba.

Member wa Crew hiyo Bien Sol amejibu hivi.

>>>’Iyo ni biashara na hata sisi Sauti Sol wengine ni mashabiki wa Diamond na wengine wa Alikiba tumefanya nyimbo na Kiba labda wengi hawakufurahi so tutafanya ngoma na Diamond pia iyo bif iendelee cause inacreate job, news, so me naona vyema iyo bif iendelee kwa mtandao tu ni sawa kwasababu kwenye muziki pia kunahitajika ushindani’ – Bien

VIDEO: Ulimiss kuitazama hii ya Walter Chilambo kutangaza kuiacha Bongofleva? unaweza kuitazama nimekuwekea hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments