Michezo

Sauti za FIFA 20 kutumika kupamba game za EPL

on

Vilabu vya Ligi Kuu England vitaamua Alhamisi hii kama wameridhia matangazo ya mechi zao za LIVE kuwekwa sauti za mashabiki kutoka katika game ya FIFA 20 sababu ya EPL kuendelea bila mashabiki sababu ya Corona.

Vituo mbalimbali vyenye haki ya kurusha matangazo ya LIVE ya mechi za Ligi husika, wanapambana kuhakikisha wanapata njia ya kuonesha mechi hizo zikiwa hazina mashabiki na kuendelea kuwa na mvuto.

Soma na hizi

Tupia Comments