Habari za Mastaa

Dakika 4 za video mpya ya Sauti Sol inayozidi kupokea comments tu @SautiSol

on

Screen Shot 2014-04-30 at 2.08.18 AMNi kundi la Sauti Sol kutoka Kenya ambao wametudondoshea single mpya inaitwa ‘nishike’ April 29 2014 ikiwa ni sehemu ya mfululizo wa Mastaa wachache wa muziki Kenya kufanya video za viwango vya juu zaidi time hii.

Dakika zako nne unaweza kuzitumia kuwatazama wakali hawa ambao wanagombea tuzo ya Africa’s best group 2014 MTV Africa Music Awards.

sautisol

sautisol2Jiunge na mimi kwenye twitter instagram na facebook kwa jina la @millardayo niwe nakutumia stori kama hizi usiku na mchana baada tu ya kunifikia.

Tupia Comments