fB insta twitter

INSTAVIDEO: Saut Sol walivyopokelewa uwanja wa ndege baada ya kushinda tuzo ya MTVMAMA

on

Weekend iliyopita ilikua poa sana kwa Wakenya na kundi la muziki la Sauti Sol baada ya kufanikiwa kushinda tuzo ya Kundi Bora kutoka Afrika wakiwaacha R2Bees kutoka Ghana, Toofan kutoka Togo, Mi Casa kutoka Afrika Kusini na Navy Kenzo kutoka Tanzania.

Nimekuwekea hapa ushuhudie mapokezi ya washindi wa tuzo hiyo.

Good vibez ? #MAMAisHome #SautiSolMAMAReturn S/O @kizaali @kiza_nbo

A video posted by MTV MAMA 2016 – BEST GROUP (@sautisol) on

Ni mungu pekee ? #MAMAisHome #SautiSolMAMAReturn @realshinski | @daddyowen | @namelesskenya | @wahukagwi | @kizaali | @kiza_nbo

A video posted by MTV MAMA 2016 – BEST GROUP (@sautisol) on

ULIPITWA NA WALICHOKISEMA NAVY KENZO BAADA YA KUKOSA TUZO YA KUNDI BORA? ANGALIA VIDEO HII

Soma na hizi

Tupia Comments