AyoTV

Full Video: Star wa Nigeria Seyi Shay alivyotua Dar, Mastaa gani wa bongo atafanyanao kazi?

on

Feb 10 2016 Star wa Nigeria Seyi Shay alitua Dar kwaajili ya kudondosha show ya Valentine Day itayofanyika Mwanza, Team ya Ayo Tv na millardayo.com  iliwasili mapema katika uwanja wa ndege wa Mwl. Nyerere na kuyanasa matukio yote mwanzo mwisho, kumbe kuna hawa wasanii wa bongo anaowazimia na anatarajia kufanya nao kazi…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments