Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

SABASABA: Watu hawataki msaada wa kisheria, wakomalia viapo (+video)

on

Leo July 11, 2019 Nakusogezea story kutoka Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kimebainisha kuwa idadi kubwa ya watu wanaofika katika chama hicho hawataki msaada wa kisheria bali wanahitaji masuala ya Viapo.

KUTANA NA ATM YA NBC INAYOPOKEA PESA, HUDUMA ZA BURE, DAKIKA TANO FUNGUA AKAUNTI

Soma na hizi

Tupia Comments