Top Stories

LIVE: Rais Magufuli akiwapokea Marais 16 mkutano wa SADC

on

Tazama jinsi Marais wa nchi zinazounda Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) walivyoingia katika ukumbi wa kituo cha mikutano cha kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam tayari kwa kuanza mkutano wa 39 wa jumuiya hiyo.

LIVE: UFUNGUZI WA MKUTANO WA 39 WA SADC

 

Soma na hizi

Tupia Comments