Habari za Mastaa

Scene ya uigizaji wa TID ya kimapenzi na Luludiva, katukumbusha enzi za ‘Girlfriend’

on

NI headlines za mkali kutokea Bongo Flevani, TID ambae time hii ameingia ameigiza kwenye tamthilia ya Juakali ambayo imeanza kuoneshwa kupitia Maisha Magic DSTV, sasa hapa nimekusogezea scene yake ya kwanza ya uigizaji katika tamthilia hiyo akiwa na LuluDiva itazame hapa

 

CHEGE KAWATUNGIA WIMBO DIAMOND, HARMONIZE NA ALIKIBA WAPATANE KAFUNGUKA HAYA

 

Soma na hizi

Tupia Comments