Top Stories

Kauli ya CAG Mstaafu “Waingie katika siasa, watumike zoezi la viwanda” (+video)

on

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Ludovick Utouh amewashauri wanawake waliopo katika Chama cha Wahasibu Tanzania kufikiria kujitosa katika siasa kwa sababu zina kanuni za uendeshaji wa nchi.

Utouh ametoa ushauri huo wakati alipoalikwa kama Mgeni rasmi katika Mkutano wa Pili wa Wanawake Viongozi ambapo amesema wanawake wana uwezo mkubwa endapo wakishirkiana na kubebana watafika mbali.

Isitoshe mwanamke kuwa mtalaamu wafikirie kuingia katika siasa, wajitahidi sana kuingia humo kwani siasa ndio zinatengeneza kanuni za nchi,“amesema.

ZIFAHAMU SIRI TANO ZA MICHORO KWA BINADAMU “TIBA YA HASIRA”

Soma na hizi

Tupia Comments